Mmiliki wa blog hii Edwin Moshi akifanya mahojiano na moja ya abiria aliyekwama baada ya maporomoko hayo yaliyofunga barabara. Abiria huyo ni mwanafunzi ambaye anasoma katika shule moja huko Ludewa na alikuwa akisafiri kuelekea Njombe ili aende Ludewa
Eneo la tukio
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi