Shaka akabidhi Ofisi kwa Sophia Mjema

 

Picha zikionesha matukio mbalimbali ya makabidhiano ya ofisi baina ya Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Ndg Sophia Edward Mjema na aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka Jana Tarehe 21 Januari, 2023 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Lumumba, Dar es Salaam.  (Picha zote na Fahadi Siraji wa CCM).




JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo