Mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Mbowe leo Jumapili Januari 22, 2023 BUNDA mkoani Mara.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Mhe. Joseph Mbilinyi (Sugu) leo Jumapili Januari 22, 2023 akizungumza na Wananchi wa Bunda mara baada ya kusimamisha Msafara wa Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Mbowe.
Picha zote kwa Mujibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini.