Moshi wazua taharuki jengo la Mamlaka ya Mapato Dodoma


Taharuki imezuka katika jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania mkoa wa Dodoma baada ya kuzuka moshi uliotanda eneo kubwa la jengo upande wa nyuma.


Moshi ulitokana na moto uliowashwa katika eneo ambalo lilikuwa na makaratasi na takataka lakini ulizidi kuenea maeneo mengine kwa nje.

Kikosi cha zimamoto kimefika eneo la tukio na kuudhibiti kabla ya kupelekea madhara maeneo mengine.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo