Mikwaju ya penati 3-1 imeamua bingwa wa mashindano ya Ligi ya Mbunge jimbo la Makete Festo Sanga baada ya kupigwa katika dimba la shule ya msingi Matamba
Ndani ya dakika 90 timu hizo Kimani FC na Veterani FC zilifungana magoli 4-4 hali iliyolazimu bingwa apatikane kwa mikwaju ya penati ambapo Veterani FC waliibuka mabingwa kwa kuichapa Kimani FC kwa penati 3-1
VIDEO NZIMA TUMEKUWEKEA HAPO CHINI
