Makete kuwa na viwanja vyenye Heshima 'Tutaboresha Viwanja'

Mbunge wa jimbo La Makete Festo Sanga amesema amepokea changamoto zilizotolewa na chama cha mpira wa miguu wilaya ya Makete kwamba awasaidie kukarabati viwanja vya michezo katika wilaya hiyo hivyo amesema amelipokea na atalifanyia kazi suala hilo


Mbunge Sanga ameyasema hayo wakati wa fainali za Ligi ya Mbunge iliyofikia tamati jumapili Desemba 18,2022 kwa timu ya Veterani FC kuifunga Kimani FC kwa penati 3-1 baada ya dakika 90 kutoshanga nguvu ya magoli 4-4 ambapo amesema kwa kushirikiana na wadau watashirikiana ili waboreshe viwanja angalau viwili vitatu viwe na hadhi

VIDEO KAMILI IPO HAPO CHINI


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo