Aliyechoma moto Vifaranga Kilimanjaro Kukiona Cha Moto

Wizara ya Mifugo na Uvuvi licha ya kulaani tukio la kuteketezwa kwa maelfu ya vifaranga wa kuku wa mayai na nyama mkoani Kilimanjaro imesema itachukua hatua za kisheria kwa mwekezaji wa shamba la kuku la Kibo Poultry ili iwe fundisho kwa wengine.


Hatua ya mwekezaji huyo kuteketeza vifaranga hivyo imekuja baada ya kukosekana kwa soko huku ikidaiwa kuwa soko la vifaranga limefurika kutoka nje ya nchi.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo