Uongozi wa Klabu ya Simba umetoa taarifa kuwa, Muharami Said Mohammed maarufu kwa jina la Shilton hakuwa mwajiriwa wa klabu hiyo.
Simba yamkana aliyedakwa na dawa za kulevya "Sio Mwajiriwa Wetu"
By
Edmo Online
at
Tuesday, November 15, 2022