Rais Ruto Huwenda akaiongoza Kenya mpaka mwaka 2042

Baadhi ya wabunge kutoka chama tawala (UDA) nchini Kenya wanafanyia kazi mabadiliko ya katiba kuondoa ukomo wa Urais wa mihula miwili, badala yake ukomo uwe ni umri wa miaka 75.


Endapo watafanikiwa, Rais William Ruto (55) atakuwa na uwezo wa kuiongoza Kenya kwa miaka 20.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo