Basi la kampuni ya Kapricon linalofanya safari zake kutoka Dar Es Salaam kuelekea jijini Arusha limepinduka katika eneo la Hedaru Mkoani Kilimanjaro leo Novemba 18, 2022
Bado hakuna Taarifa ya Majeruhi au Watu waliopoteza Maisha katika Ajali hiyo na Chanzo cha Ajali bado Hakijajulikana.


