Nyuki watumika kuwakamata wezi

Watuhumiwa wawili wa wizi wa Ng’ombe nchini Kenya wamesijalimisha kituo cha Polisi wakiwa na rundo la Nyuki kwenye viganja vya Mikono.


Tukio linalohusishwa na Imani za Kishirikina Baada ya Mwenye Ng’ombe kwenda kwa Mtaalam na Kufanikisha Zoezi hilo kama njia ya Kuwakamata!


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo