Zoezi la utambuzi na kuaga miili ya ndugu zetu 19 waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air linatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa hapa kwenye uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwaongoza Wananchi Kwenye zoezi hilo.
Picha na Clouds Digital
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi