Mzee ajeruhiwa na kulawitiwa na majambazi

Katika kisa tofauti, mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 48, anapokea matibabu baada ya kushambuliwa na kulawitiwa na genge lisilojulikana katika Kituo cha Nderu eneo la Ndeiya, Kaunti ya Kiambu nchini Kenya. 

Uchunguzi umebaini kuwa mwanamume huyo ambaye ni mlemavu, alivamiwa alipokuwa kwa matembezi ya jioni katika eneo la Ndeiya, lilioko kati kati ya kaunti ndogo za Limuru na Kikuyu. 

Taarifa zaidi zinasema kuwa mwathiriwa alilawitiwa na wavamizi hao kisha wakamkata sehemu zake za siri. 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo