Mwanamke afariki baada ya kufungiwa ndani mwaka mzima

 Mwanamke mmoja nchini Nigeria alietambulika kwa jina la Sadiya amefariki baada yakufungiwa ndani na mume wake mwaka mzima huku akipata chakula kidogo.


Imaelezwa mama huyo wa watoto wanne alikua anafungiwa ndani akipatiwa chakula kidogo na mume wake huyo.

Mama wa Sadiya alieleza kua alifunga safari kwenda kwa mtoto wake baada yakutokua anaridhiashwa na sauti yake katika simu ndipo alipomkuta mtoto wake kwenye hali mbaya akiwa hawezi hata kutembea kutokana na njaa na maradhi mengine.

Mama huyo alimkimbiza binti yake hospitali kwa matibabu ambapo alifariki siku chache badae.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo