Mjadala wa Muswada wa Bima ya afya kwa wote waahirishwa

 Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson ametangaza kuwa Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote ambao ulikuwa ujadiliwe bungeni leo Ijumaa umeahirishwa hadi hapo mashauriano kati ya Bunge na Serikali yatakapokamilika.


Spika Amesema kuna mambo ambayo hawajaafikiana na Serikali.


"Muswada huu utaletwa hapa bungeni tutakapokuwa tumemaliza hayo mashauriano” – Spika Tulia Ackson akiahirisha mjadala wa muswada wa sheria ya bima ya afya kwa wote kutokana na mashauriano yanayoendelea kati ya Bunge na Serikali.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo