Afia Kwenye foleni ya Kusubiri Mbolea za Ruzuku


Frolelence Nyingo Mkazi wa Kijiji cha Nakahegwa, Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma amefariki dunia baada ya kuanguka akiwa kwenye foleni ya kusubiri mbolea ya ruzuku, katika kituo cha kuuzia mbolea hizo cha Mohammed Enterprises. 


Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma ACP Marco Chilya, amethibitisha.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo