Mwanamke ahukumiwa Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka 12

MAHAKAMA ya Rufani Tanzania imeridhia kifungo cha maisha jela alichohukumiwa Shani Suleiman (35) mkazi wa Morogoro mjini, kwa kosa la kumbaka mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12.

Mtuhumiwa huyo alikamatwa baada ya kupatikana kwa ushahidi wa video iliyorekodiwa na mama mzazi wa mtoto huyo akiwa na rafiki yake baada ya kuandaa mtego (simu janja) katika nyumba ya mwanamke huyo.

Hiyo ni baada ya mtoto kumweleza mama yake kuwa mama Shani, maarudu kama Mama Shafii amekuwa akimwambia amwingilie mara kwa mara na wakati mwingine kinyume cha maumbile na mchezo huo aliufanya kwa miaka mitatu hadi mwaka 2019.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo