Simulizi ya mume wa Mwashamba Salum (37) anayetuhumiwa kumuua mwanaye wa miaka mitano kwa kumkata na kitu chenye ncha kali kichwani na kisha kuanza kuchenza ngoma baada ya tukio hilo.
Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Polisi Kibiti, Protus Mtayoba amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na mtuhumiwa atapandishwa kizimbani upelelezi ukikamilika.
Tayari mazishi ya mtoto huyo yameshafanyika.