Jeshi la kujenga Taifa (kitengo cha SUMA) limeleta ujumbe Bungeni na kuwataka Wabunge wote waliokopa matrekta kupitia SUMA-JKT walipe haraka madeni yao.
Katika tangazo lililosomwa na Spika Job Ndugai, SUMA-JKT wamewataka wabunge wanaodaiwa walipe kabla ya June 23.
Kutoka Bungeni.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi