Nape amemtumia Meseji Lowassa

"If you don't know history, then you don't know anything. You are a leaf that doesn't know it is part of a tree." Ameandika Nape kupitia ukurasa wake wa Twitter leo Juni 29, 2017. Ambapo kwa tafsiri ya isiyo rasmi amemaanisha hivi "Kama huifahamu historia, utakuwa hujui lolote, Wewe ni jani lisilo fahamu kama ni sehemu ya mti"


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo