Ajiua baada ya kunyimwa Unyumba na Mkewe

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Joseph (52) anadaiwa kujinyonga mpaka kufa baada ya kunyimwa tendo la ndoa (Unyumba) na mkewe.

Mwanaume huyo ambaye jina lake kamili ni Joseph Ojur mwenye umri wa miaka 52 mkazi wa ukanda wa Kabagu katika Manispaa ya Njeru nchini Kenya alijinyonga siku ya Jana Juni 3, 2018 baada ya kunyimwa tendo la ndoa (unyumba) na mkewe kwa kile kinachodaiwa kuwa Joseph Ojur inasemekana alimwambia mkewe kuwa alifanya vipimo vya UKIMWI na kukutwa nao.

Tangu amwambie mkewe hivyo amekuwa akinyimwa "unyumba".


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo