Waziri amtembelea SUGU Nyumbani Kwake

Waziri Mstaafu katika awamu zilizopita Prof Mark Mwandosya ni miongoni mwa watu waliomtembelea Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) nyumbani kwake muda mchache baada ya kutoka jela

Sugu na mwenzake Emanuel Masonga wameachiwa huru kwa msamaha wa Rais baada ya kuhukumiwa kifungo cha miezi 5 Jela

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Sugu ameandika hivi:-

# Fresh outta prison # Nikiwa na Prof. Mwandosya nyumbani kwangu leo. Asante sana kwa maneno ya busara na ujasiri ulionipa leo na hata ulipokuja kuniona gerezani... jongwe__# Fresh outta prison # Nikiwa na Prof. Mwandosya nyumbani kwangu leo. Asante sana kwa maneno ya busara na ujasiri ulionipa leo na hata ulipokuja kuniona gerezani...


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo