Rais Magufuli atinga ofisi ndogo za CCM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi(CCM),Dkt. John Pombe Magufuli ametembelea ofisi za chama hicho zilizopo Lumumba jijini Dar es salaam

Rais Magufuli akiwa ofisini hapo amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CCM – Bara, Ndugu Philip Mangula pamoja na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Ndugu Abdulrahaman Kinana.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo