Mwanafunzi wa Chuo aliyejiua aagwa, Vilio Vyatanda

Mwili wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira (Arusha), Luciana Olatu aliyejiua Mei 7, umeagwa leo na kusafirishwa kupelekwa Moshi kwa mazishi.

Taarifa zilizopatikana zinadai Luciana alikatisha uhai wake kutokana na msongo wa mawazo baada ya kufiwa na mtoto mwezi Machi.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo