Sugu na Masonga walipaswa kutoka tarehe 5 /6/2018 kwa mujibu wa sheria lakini wameachiwa leo. Ni kwa nini rufaa yake haikusililizwa kwa wakati ? haya ni kama mazingaombwe yenye nia mbaya zaidi kuliko heri.TAFAKARINI SANA furaha zetu na zijae mashaka zaidi kuliko starehe.— Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) May 10, 2018
Lema: Haya ni kama mazingaombwe yenye nia mbaya zaidi kuliko heri
By
Edmo Online
at
Thursday, May 10, 2018
