#BREAKING_NEWS: Vilio na Simanzi vyatawala wakati wa tukio la kuufukua mwili wa marehemu Rose Magombola ambaye alikuwa muuguzi mkuu msaidizi wa Hospitali ya Mkurunga aliyeuawa na mumewe kwa kupigwa kisha mwili kuufukia pembezoni mwa nyumba yake.
Mamia ya Wananchi eneo hilo na watumishi wa hospitali ya wilaya ya Mkuranga(Pwani) wamejumuika kushuhudia tukio hilo.
Endelea kuwa nasi,tutakujuza zaidi.


