Mkurugenzi aliyetumbuliwa na Rais Magufuli ajitokeza na kukanusha

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Tiba (NIMR), Dkt Mwele Malecela, amekanusha taarifa zinazosambazwa kuhusu kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika. Dkt Mwele ni mmoja ya wakurugenzi katika ofisi ya WHO Afrika iliyopo Congo, Brazzaville.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo