Kinachoendelea Kuhusu bweni lililoungua Makete

Tangu kuungua moto bweni la wavulana shule ya Sekondari Mang'oto wilayani Makete mkoani Njombe Machi 12 mwaka huu, Tumeendelea kufuatilia kujua hata ya wanafunzi hao

hapa Tumezungumza na Mratibu elimu ambaye pia ni katibu wa kamati iliyoundwa kushughulikia suala hilo ili ujenzi uweze kuanza, Mtazame kwenye video hii hapa chini akielezea hali ilivyo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo