ASKOFU KKKT awageuka WENZAKE, akataa KUSOMA WARAKA

Askofu Gavile akiwa na wachungaji na msaidizi wake mara baada ya kumalizika ibada ya Pasaka leo 

Askofu wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT)  dayosisi ya Iringa Blaston Gavile leo amesitisha kusoma waraka wa maaskofu wa kanisa hilo kama ilivyopangwa kwa madai ya kuvuja kwa waraka huo.

Tazama Video Hii:-


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo