Leo nimepata heshima ya kuwa mgeni rasmi katika Tuzo za Filamu za Kiswahili zijulikanazo kama Sinema Zetu zinazoandaliwa na @azamtvtz . Nawapongeza kwa kuandaa tuzo hizi zitakazotoa chachu kwa filamu za bongo movie kuboresha filamu zao na kuzitangaza kimataifa pic.twitter.com/Cieomuizrk— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) April 1, 2018
Kikwete: Nimepata Heshima
By
Edmo Online
at
Sunday, April 01, 2018
