Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar Es Salaam Lazaro Mambosasa amesema wamejipaga vizuri kukabiliana na wale wote watakaoandamana April 26 mwaka huu
Amemwambia mwandishi wa habari hii kama anataka kujua jeshi hilo limejipangaje, basi wakutane barabarani siku hiyo
Tazama Video hii hapa Chini:-
