Abiria wakisaidiana kulivuta basi la abiria la Japanese Express linalofanya safari zake Makete hadi Mbeya baada ya Basi hilo Kukwama kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Makete mkoani Njombe
Wananchi wakivuta Lori lililokwama barabarani kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani hapo