Lori hilo likionekana kwa mbali korongoni lilimotumbukia
Wananchi wakiliangalia lori hilo baada ya ajali
Lori lililokuwa limebeba viazi limepata ajali juzi kwa kutumbukia Mtoni Barabara ya Ipelele Mbeya wilayani Makete mkoani Njombe
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo waliozungumza na Eddy Blog wamesema ajali hiyo imesababishwa na utelezi uliosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani hapo kabla ya kumshinda dereva na likapelekea kutumbukia mtoni
Korongo hilo ni refu kiasi cha kutoonekana vizuri kwa lori hilo