Mwananchi Makete: "Siitaki tena CCM, Diwani wa CHADEMA kanivutia, Nahamia huko"


 Akikabidhiwa kadi ya CHADEMA
Akirudisha kadi ya CCM

Mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara, mwananchi aitwaye Hansi Makoti amekihama chama cha Mapinduzi na kujiunga na chama cha CHADEMA kwa madai ya kuridhishwa na majibu aliyoyatoa diwani wake katika mkutano wa hadhara kuhusu ujenzi wa daharia katika shule ya sekondari Matamba wilayani Makete Mkoani Njombe

Mwanachama huyo akapokelewa na Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Matamba Hashim Nyambo na kukabidhiwa kadi ya CHADEMA na kutakiwa kwenda kuwajibika kama chama hicho kinavyotaka

Tazama Video hii:-



JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo