VIDEO: Binti anayedaiwa kuwa Mchawi aanguka kwenye Nyumba Njombe, azua Taharuki

Wananchi wa kijiji cha Usita wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe wamekumbwa na taharuki baada ya binti mmoja anayedaiwa kuwa mchawi kuanguka kwenye nyumba moja ya mkazi wa eneo hilo 

Tukio hilo ambalo limeacha gumzo, limetokea na kuwaacha hoi wananchi hao huku wananchi wakielezea ilivyokuwa

Tazama video hii hapa chini:-


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo