RPC Apata ajali Mbaya, Anusurika Kufa

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha, Charles Mkumbo amepata ajali katika eneo la Mdori mkoani Manyara baada ya gari alilokuwa akilitumia kupasuka gurudumu 'tairi' ya nyuma na kupoteza uelekeo

Hayo yamethibitishwa na mlinzi wa Kamanda Mkumbo (Bodyguard) wakati alivyokuwa anazungumza na mwandishi wa habari hii kwa njia ya simu ya RPC na kusema ni Kamanda Mkumbo amepata ajali hiyo ambapo ndani ya gari aliyokuwa akiitumia walikua watu watatu akiwemo msaidizi wake pamoja na dereva.
Kamanda Mkumbo amepelekwa katika hospitali ya Mount Meru mkoani humo baada ya kupata maumivu aliyokuwa nayo ya kichwa kutokana na ajali hiyo aliyoipata.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo