Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka akisalimiana na walimu wa shule ya sekondari ya wasichana Makete Girl's alipofanya ziara shulleni hapo jana Januari 31, 2018
Mkuu wa shule hiyo Mwalimu Sayuni Sanga akisoma taarifa ya shule kwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Njombe Ndugu Jasel Mwamwala akizungumza kwenye ziara hiyo
Mkuu wa mkoa akikagua miundombinu ya shule hiyo
Mkuu wa Mkoa wa Njombe akikagua vyoo vipya vilivyojengwa shuleni hapo
Muonekano wa shule
Bweni wa wanafunzi hao
Kiranja Mkuu akizungumza kwenye ziara hiyo ya mkuu wa mkoa
Mkuu wa mkoa akizungumza na wanafunzi hao
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi