Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh Christopher Ole Sendeka (katikati) akisaini kitabu cha wageni katika hospitali ya Consolata Ikonda, Kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Makete Mh Veronica Kessy. Mkuu wa mkoa amefanya ziara hospitalini hapo jana januari 31, 2018

Mkuu wa mkoa akipatiwa maelezo katika kitengo cha Viungo bandia hospitali ya Consolata Ikonda
Mkuu wa Mkoa akiwa ameshika Mguu Bandia uliopo hospitalini hapo
Muonekano wa Hospitali ya Consolata Ikonda
Mkuu wa Mkoa akizungumza na watumishi wa hospitali hiyo
Baadhi ya watumishi wa hospitali hiyo












