PICHA: IGP Sirro amefika katika Msiba wa Mwanafunzi Akwilina

Leo February 18, 2018 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro pamoja na Kamanda wa Kinondoni Murilo Jumanne wamefika Msibani kwa mwanafunzi Akwilina, Mbezi mwisho katika Wilaya ya Ubungo kwa ajili ya kuwapa pole wafiwa.




JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo