"Nyumba ya urithi haibomolewi" - Lazaro Nyalandu

Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Mhe Lazaro Nyalandu amefunguka na kusema kuwa nyumba ya urithi haiwezi kubomolewa na kudai kuwa tofauti za kisiasa, ukabila na dini haiwezi kuwa sababu kwa nyumba ya urithi kubomolewa

Nyalandu amesema hayo kupitia mtandao wake wa Facebook akiwa nchini Kenya na kudai Utu, amani, haki, heshima ndiyo mshikamano wa Watanzania wote bila kujali tofauti za kisiasa wala dini zao. 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo