Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kitendo cha waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa kuhamia Chadema ulikuwa ni Mpango wa Chama cha Mapinduzi CCM
Gambo ameyasema hayo ikiwa ni siku moja imepita tangu Lowassa akutane na rais Dkt John Magufuli ikulu jijini Dar Es Salaam kitendo ambacho kilitajwa na mkuu huyo wa mkoa kabla ya utabiri wake kutimia kuwa Lowassa ameomba kuonana na Rais Magufuli Ikulu
Tazama Video hii:-