Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Anthony Diallo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA).
Diallo anachukua nafasi ya Profesa Anthony Mshandete ambaye amemaliza muda wake.