Leo Madiwani wawili Iringa-Mjini na Mara-Tarime wamehamia CCM. Katibu wa Mkoa wa Iringa CDM na Katibu Mwenezi wa Wilaya ya Siha CDM wamehamia CCM. Kuna Kiongozi mzito ameomba kuhamia CCM, tunatafakari kama tumruhusu au la, again lugha za matusi tutafungulia wote walioomba waje!— Humphrey Polepole (@hpolepole) January 5, 2018
Polepole: Kuna kiongozi Mkubwa wa CHADEMA tunatafakari tumpokeeje CCM
By
Edmo Online
at
Saturday, January 06, 2018