Heche: Endeleeni na biashara ya kununua binadamu wanachama wako imara na wana kiu ya kuondoa CCM

Ziara ya Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Mh Halima Mdee kukagua uhai wa Baraza la wanawake wa Chadema Mkoani Katavi pamoja na hayo Agenda ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi imezungumzwa,


Endeleeni na biashara ya kununua binadamu wanachama wako imara na wana kiu ya kuondoa ccm.





JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo