Shabiki wa kutupwa wa Simba aipongeza Azam FC kwa Kutwaa Kombe

Hongera sana @azamfc kwa kuchukua kombe la Mapinduzi. Hongera sana mlinda mlango Razak kwa kudaka penalti 2 na nahodha @HimidMao kwa kuongoza Vijana wenzako vizuri uwanjani. Pongezi wachezaji wote na benchi la ufundi kwa mafanikio makubwa 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo