Nyufa za Mabweni UDSM zapatiwa Dawa

Picha zinazoonesha nyufa hizo zikiwa zimezibwa
Wakala wa Majengo nchini (TBA) zimefanya ukarabati wa 
majengo ya mabweni ya chuo kikuu cha Dar es salaam 
ambayo hivi karibuni yalionekana kuweka nyufa
Vyombo vya habari vilivyofika kwenye eneo hilo vilikuta tayari mafundi wameshaweka plasta ili kuziba nyufa hizo, ambazo Mkurugenzi Mkuu wa TBA Elius Mwakalinga alisema zimesababishwa na 'expansion joint' ambayo ni kitu cha kawaida kwenye ujenzi.
Hivi karibuni kulisambaa picha za majengo zikionyesha kuwa na nyufa, huku yakiwa hayajamaliza mwaka tangu yakabidhiwe na kuanza kutumika na wanafunzi, kitendo kilichosababisha mpiga picha hizo ashikiliwe na polisi.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo