skip to main |
skip to sidebar
Mbunge wa CHADEMA Avutiwa na CCM
Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Godwin Oloyce Mollel ametangaza kujivua rasmi uanachama wa chama hicho na kujiuzulu nafasi yake ya ubunge
Mollel ametangaza kujiuzulu ubunge wake kwa madai ya kwamba sasa anafurahishwa na uongozi wa Rais Magufuli katika kupigania rasilimali za nchi ya Tanzania, hivyo yeye hana sababu ya kuendelea kupingana tena na chama cha CCM. Pia ameongeza kuwa anaungana na CCM katika kuleta maendeleo maana ameona dhamira ya kweli ya Rais Magufuli katika kuleta maendeleo. Soma zaidi barua yake
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi