Waliomtuma Neemiah Mchechu kuvunja Billicanas/kuharibu mali za Mh Mbowe pasipo sababu ndio hao walioamuru Mchechu akamatwe .Vijana mlioko ktk utawala huu jifunzeni ya kwamba Mungu adhiakiwi apandacho mtu ndicho avunacho.Sio kila mnachotumwa ni muhimu kukifanya.Mtageukwa siku moja— Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) December 17, 2017
Mbunge achekelea Mkurugenzi Mkuu NHC Kutumbuliwa
By
Edmo Online
at
Sunday, December 17, 2017