TAKUKURU imetupilia mbali ushahidi wa Mbunge Joshua Nassari na Godbless Lema walioupeleka kwenye taasisi hiyo wakiwatuhumu kupokea Rushwa
Ushahidi uliotupiliwa mbali ni ule wa video, kama ilivyoriptiwa na ukurasa wa Twitter wa Mtanzania Digital
#Habari Takukuru yautupa ushahidi wa video wa wabunge wa Chadema, Joshua Nassari na Godbless Lema ukiwaonyesha madiwani wa chama hicho waliohamia CCM wakihongwa rushwa, kwa madai kuwa wabunge hao waliharibu uchunguzi baada ya kuingiza siasa katika jambo hilo. #MtanzaniaDigital pic.twitter.com/LNcP0xKZfc— Mtanzania Digital (@MtanzaniaNews) December 17, 2017