Mikakati ya ccm ya kuangamiza Upinzani Nchini ni utafiti wa kutosha unaothobitisha ni kwa namna gani ccm imekufa, siku dola ikipata hekima yake na kuacha vyama vya siasa kushindana kwa haki bila mabavu basi bila shaka ccm itakuwa na nguvu sawa na TLP au NRA ktk chaguzi .— Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) December 15, 2017
Lema: CCM Imekufa
By
Edmo Online
at
Friday, December 15, 2017